Bensoul by Nairobi-Ft.-Sauti-Sol MP3 download

1
301

 

Lattest music by Bensoul

Click to download Bensoul -Nairaobi ft Sauti Sol

 

Heh? Hehehe
Hmm-haha, maajabu (hoo)
Habari mbaya zimenifikia
Mandugu zangu wananikulia
Kumbe sahani yangu ni sinia
Na inaniuma sana
Yule mpenzi niliaminia
Nikamueka mbele ya dunia
I must be trippin’ nikikurudia
Umenitesa sana
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana, mama
Woi-yoo
Motherfuckers gon’ kill me in this bitch, yeah, yeah
Marashi yako yalinivutia
Siku ya kwanza ulipopitia
Kumbe sii mi pekee nilinusia
Yolanda ya lavender
Na mbogi yangu iliniambia (walini-show)
Eti nikusare but sikusikia (sikusikia)
I don’ wanna do this shit no more, my dear
Najuta kupendana
Nairobi (woyo-yoyo)
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana, mama
Gonga (gonga) gonga like
Gonga (gonga) gonga like, yeah
Gonga (gonga) gonga like
Okonkwo (gonga)
Yo (gonga like, yeah)
Rieng? (Yeah) Radar?
Siku hizi madem ni blunder
Jana cuzo alimkaza
He’s family, ah-ah
Get together kwa bed
Hio story tumekataa
Ma-boy wengine blunder
Watakukulia mama (weh)
Na wakuchekeshe sana
Madame madem, eh (hmm)
Madame wa siku hizi
Wana machali wengi
Nilichapa mmoja juzi
Ikaingia ndani, dive
Nairobi (woyo-yoyo)
Yule anakupea, pia ananipea (yule)
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana, mama

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here